Pitso Mosimane: Simba ina wachezaji wenye uwezo wa kucheza katika kiwango cha juu kwenye mashindano makubwa.

Kocha wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane amesema amewafuatilia Simba na kubaini ni miongoni mwa timu bora Afrika kutokana na aina yao ya soka ambalo wanacheza.Mosimane anasema Simba wamenishangaza kushinda mechi ya ugenini dhidi ya As Vita tena Kinshasa mahala ambapo ni pagumu kwa timu pinzani kushinda. “Katika kuwafuatilia kwangu Simba, nimebaini wana wachezaji